TTCL NA HUAWEI WAINGIA MKATABA WA KUBORESHA MAWASILIANO NCHINI
Afisa mtendaji Mkuu wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Dr Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang wakisaini mkataba wa makubaliano ya kupanua na kuboresha mtandao wa TTCL wa simu za Mezani,Mkononi pamoja na Teknologia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambao unagharimu zaidi na ya kiasi cha dola milioni 182.
Afisa mtendaji Mkuu wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Dr Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang wakibadilishanai mikataba ya makubalianoya kupanua na kuboresha mtandao wa TTCL wa simu za Mezani,Mkononi pamoja na Teknologia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambao unagharimu zaidi na ya kiasi cha dola milioni 182.
Picha ya Pamoja.
Comments
Post a Comment