TTCL YATOA MSAADA WA MADAWATI KWA SHULE YA MSING BUNENE BUKOBA.

Uongozi wa TTCL ukitoa Msaada wa Madawati katika Shule yaShule ya Msingi  Bunena leo Ijumaa.TTCL inaamini kutoa msaada huo wa Madawati utasaidia kuboresha Ufanisi wa Shule na hatimaye kupata Matokeo Makubwa sasa katika Sekta ya Elimu. Pia ni Mategemeo ya TTCL kuwa utaleta chachu kwa wadau wengine katika Sekta kuweza kuchangia katika sekta hiyo pana ya Elimu. Hatimae kuondoa Changamoto zinazoikabili sekta ya Elimu hapa Mkoani Kagera na Nchi nzima kiujumla. TTCL pia imeweza kuwahakikishia wadau mbalimbali waliohudhuria hafra hiyo kuwa wataendelea kuwa bega kwa bega katika kuleta maendeleo kadri hali ya kifedha itakavyoruhusu.

Wanafunzi wakikalia dawati moja wapo ambapo dawati moja litakaliwa na Wanafunzi 3 hivyo madawati hayo yatawatosha wanafunzi 150 wa Shule hiyo ya Bunena. Picha na Faustine Ruta, Bukoba

Baadhi ya Viongozi wakishukuru kwa Zawadi hiyo ya Madawati.

 Meneja wa TTCL Mkoa wa Kagera Bw. Salum Mbaya (kulia) akiwa na Mkuu wa wilaya.

Comments

Popular Posts